STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
waongoze wanafunzi waorodheshe tanzu mbalimbali za fasihi simulizi wanazozifahamu au wasikilize kanda zenye kazi za kifasihi simulizi. |
wanafunzi waorodheshe tanzu mbalimbali za fasihi simulizi wanazozifahamu au wasikilize kanda zenye kazi za kifasihi simulizi. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Ongoza Wanafunzi wajadili maumbo ya kazi hizo na kuyaweka katika makundi ya mfanano. |
Wanafunzi wajadili maumbo ya kazi hizo na kuyaweka katika makundi ya mfanano. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
waongoze wanafunzi kufikia hitimisho la tanzu za fasihi simulizi. |
Mwanafunzi afikie hitimisho la tunzo la fasihi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
waongoze wanafunzi kufikia hitimisho la tanzu za fasihi simulizi. |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |